Renovation of Mikocheni “A” primary School building and office furniture
Kaimu mkuu wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi na Mwenyekiti wa shirika la elimu na afya (MMHEN) Bi. Kokushubira Kairuki wakikagua darasa baada ya makabidhianohiki ni chumba kimojawapo kati ya vyumba vinne vilivyokarabatiwa na KHHili ni jengo la vyumba (4) liliojengwa na Prof. Kairuki enzi za uhai wake na hivi sasa limekarabatiwa na Kairuki Hospital na kukabidhiwa upya pamoja na vifaa kwa matumizi ya walimu wa shule ya Mikocheni AKaimu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi akipatiwa huduma ya afya katika viwanja vya shule ya msingi Mikocheni A wakati wa kumbukumbu ya muasisi Prof. C.H KairukiWanafunzi wakiimba wimbo wa shukran wakati wa kukabidhiwa vifaa na jengo la vyumba vinne baada ya kukarabatiwa