Mh Anne Semamba Makinda Azindua Kitengo cha Kuchuja Damu (Hemodialysis)

Mh. Anne Makinda akipata maelezo kutoka kwa Matron wa Hospitali alipotembelea chumba cha Wazazi.
Mkurenzi Mkuu wa Kairuki Hospital Dr. Asser Mchomvu akisoma risala wakati wa uzinduzi wa kitengo hizo.

Mh. Anne Makinda akiwa na Mwenyekiti wa shirika la Kairuki wakipata maelezo toka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kitengo hicho.

Mh. Anne Makinda akipata maelezo jinsi Mitambo hii ya kusafisha damu inavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi Dr. Muganyizi Kairuki
Mh. Anne Makinda Akikata utepe kuashiria uzindizi rasmi wa kitengo hicho.