Maono ya Prof. Hubert Kairuki na matokeo yake juu ya utoaji wa huduma za afya barani Afrika

RATIBA YA MATUKIO YA WIKI YA MAADHIMISHO YA  19 YA KUMBUKIZI YA HAYATI PROFESA HUBERT KAIRUKI
TAREHE 1 – 6, FEBRUARI, 2018

  SIKU TAREHE SAA TUKIO MAHALI MUHUSIKA
1. ALHAMIS 1/2/2018 11:00 JIONI – 2:00 USIKU MASHINDANO YA KITAALIMA AWAMU YA KWANZA HKMU GHOROFA YA 4 KAMATI YA MAANDALIZI
2. IJUMAA 2/2/2018 2:00 ASUBUHI – 11:00 JIONI MICHEZO SHULE YA MSINGI MIKOCHENI A WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI
3. JUMAMOSI 3/2/2018 2:00 ASUBUHI – 10:30 JIONI MAANDALIZI YA SITE BUNJU BUNJU KAMATI YA MAANDALIZI
4. JUMAPILI 4/2/2018 3:00 ASUBUHI – 10:00 JIONI UCHANGIAJI DAMU NA UPIMAJI AFYA BUNJU WANANCHI, WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI
5.  

 

 

JUMATATU

 

 

 

5/2/2018

3:00 ASUBUHI – 10:00 ASUBUHI UWEKAJI WA JIWE LAMSINGI BUNJU MKUU WA WILAYA
3:00 ASUBUHI – 10:00 JIONI UCHANGIAJI DAMU NA UPIMAJI AFYA BUNJU WANANCHI, WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI
6.  

JUMANNE

6/2/2018 3:00 ASUBUHI –  6:00 MCHANA MASHINDANO YA KITAALUMA AWAMU YA 2 HKMU GOROFA YA 4 WANAFUNZI WOTE
6/2/2018 3:00 ASUBUHI -10:00 JIONI UCHANGIAJI DAMU UPIMAJI AFYA  

BUNJU

 

 

 

KAMATI YA MAANDALIZI

6/2/2018  8:00 MCHANA – 10:00 JIONI MHADHARA WA KITAALUMA HKMU PERGOLA LECTURE HALL

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *