MAADHIMISHO YA 19 YA KUMBUKIZI YA HAYATI PROFESA HUBERT KAIRUKI TAREHE 6, FEBRUARI, 2018

RATIBA YA MATUKIO YA SHUGHULI YA KUWEKA JIWE LA MSINGI, UCHANGIAJI DAMU NA KUPIMA AFYA BILA MALIPO TAREHE 05/02/2018 BUNJU-DAR ES SALAAM

NO SIKU SAA TUKIO MAHALI MUHUSIKA
1. JUMATATU 02:00 ASUBUHI WANANCHI – KUWASILI BUNJU MC

 

2. JUMATATU 2:10 ASUBUHI – 04:00 ASUBUHI VIONGOZI, WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI (HKMU NA KSN) – KUWASILI BUNJU MC
3. JUMATATU 4:45 ASUBUHI – 4:50 ASUBUHI M/KITI- KHEN KUWASILI BUNJU  

MC

 

4.

 

JUMATATU 4:50 ASUBUHI MGENI RASMI – KUWASILI BUNJU  

MC, WATU WOTE

 

5:00 ASUBUHI – 5:30 ASUBUHI MGENI RASMI – KUWEKA JIWE LA MSINGI NA KUTEMBELEA MABANDA YA KUTOA HUDUMA BUNJU  

MC, WATU WOTE

 

5:30 ASUBUHI – 5:35 ASUBUHI UTAMBULISHO BUNJU  

MC

 

5. JUMATATU 5:35 ASUBUHI – 6:05 MCHANA  HUTUBA YA MKURUGENZI MKUU BUNJU  

MC

 

6:05 MCHANA –  6:15 MCHANA SALAAM – M/KITI – KHEN BUNJU  

MC

 

6:15 MCHANA –  6:45 MCHANA HUTUBA YA MGENI RASMI BUNJU  

MC

6:45 MCHANA –  6:50 MCHANA PICHA YA PAMOJA BUNJU  

VIONGOZI/ MC

 

6:50 MCHANA MAHOJIANO NA WAANDISHI WA HABARI BUNJU MGENI RASMI NA MKURUGENZI

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *